Msaada kwenye tuta

wonderaz

Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
60
Reaction score
6
Ukiuliza kwanini unanipenda
Ni swali ya kimahaba au kiimanii
Maana kila nimulizapo mpenzi wangu hilo swali anakuwa mtata hata kutaka kuachana je hii ni sawa
 
duh. nafikiri mpnz wako hataki kukwambia ukweli.
 
Ukiuliza kwanini unanipenda
Ni swali ya kimahaba au kiimanii
Maana kila nimulizapo mpenzi wangu hilo swali anakuwa mtata hata kutaka kuachana je hii ni sawa

Basi usipende kujua, siku ukijua anachokupendea utamuua bure kwa hasira!! We endelea kufaidi hilo penzi kwa nafasi yako likitokea la kutokea basi hilo ndilo litakuwa jibu la swali unalouliza!!
 
Ukiuliza kwanini unanipenda
Ni swali ya kimahaba au kiimanii
Maana kila nimulizapo mpenzi wangu hilo swali anakuwa mtata hata kutaka kuachana je hii ni sawa

kwani shida yako nn MKUU kuna kitu unakosa au unanyimwa??

MKUU bata ukimchunguza sana huwezi kumla bana.
nausije ukajifanya kitu mbaya.
 
MKUU bata ukimchunguza sana huwezi kumla bana.
nausije ukajifanya kitu mbaya.[/QUOTE]
Mku sio kumchunguza bata mkuu ila napaswa kujua mkuu
 
The point is mmekutana SANAA[/QUOTE]

Mimi sihitaji kufanyq hivi ila niujue ukweli kama zake hamsini nami zangu hamsini hawezi tumia sabini miye thalathin
 
Ukiuliza kwanini unanipenda
Ni swali ya kimahaba au kiimanii
Maana kila nimulizapo mpenzi wangu hilo swali anakuwa mtata hata kutaka kuachana je hii ni sawa

we mpenzi wako akikuuliza hivo unamjibuje?
 
upendo wa kweli unatoka moyoni na huja bila kuangalia sababu..ya kwanini au unanini...akikupenda sababu ya kitu fulani siku hicho kitu kikipotea au kikihalibika na upendo unakufa.upendo wa kweli hauna sababu mengine ni nyongeza tu unajengeka moyoni mwa mtu kulingana na hisia zake kwako.mtu akikwambia nakupendea sura,tabia ,pesa n.k ni muongo hajapenda bali katamani...mtazamo tuuu..
 
Huitaji sababu kumpenda mtu... Ukiwa na sababu inamaanisha umemtamani.... Love doesn't ask why it speaks from the heart and never explain don't you know that love doesn't think twice.. It only comes once and from a diiiistance sa koma kumuuliza badala yake muulize kwanini amekutamani anaweza kua na jibu
 
Ukiuliza kwanini unanipenda
Ni swali ya kimahaba au kiimanii
Maana kila nimulizapo mpenzi wangu hilo swali anakuwa mtata hata kutaka kuachana je hii ni sawa

Hebu tuambie kwa nini unampenda mpenzi wako?
 
Mimi naomba niwe tofauti kimtazamo,kumpenda mtu hakuji kama kimbunga au sunami mpaka ushindwe kueleza kilichofanya umpende huyo na si mwingine kuna vitu unakuwa umeviona na vimekuvutia mpaka ukawa na huyo ila mapenzi yanakuwa yamezidi mpaka unashindwa kujielewa ingekuwa kama unavyosema watu wasingekuwa wanaweka vigezo katika kupata mpenzi maana ingeangukia popote. Na mtu anayeshindwa kueleza ni kipi hasa kimemfanya ampende huyo mpenzi wake maana yake ana mtu mwingine anampenda huwezi ukakosa sababu ya kwanini unampenda huyo uliye naye ya kwangu ni hayo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…