Msaada kwenye tuta

Msaada kwenye tuta

Saimony

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2015
Posts
240
Reaction score
166
Wakuu kwema. Na imani mnaendelea poaa. Wahenga walisema kama nitakuwa sijakosea "omba nyavu ukavue samaki mwenyewe kuliko kuomba samaki kila siku"
Naomba msaada wenu kwenye hili kwa yule atakayeguswa. Niweze kupata laptop kwa ajili ya kuendeleza project yangu (ajira binafsi) ya web development
Mimi ni Mtaalamu wa masuala ya computer (IT Technician) ila nimeibiwa kitendea kazi (laptop) na kwa sasa sina uwezo wa wa kununua kingine na napoishi kodi inaisha, napambania kodi kwa sasa nisije kufurumushwa na nilikuwa na project naanza kufanya shared hosting na website design ila ndio imelala(mwisho wa siku hosting ita expire iwe msala zaidi). Kwa ajili ya kupata kipato cha ziada maana kutegemea mshahara tu hali tete kutoboa uongo. Msaada wenu kwa ambaye ana laptop ambayo haitumii, ipo stoo, au ni old kwake anisaidie iwe kama mtaji kwangu niendeleze harakati. Naomba anisaidie nijikwamue nayo. Niweze kujiendeleza na kumudu maisha. Nitashukuru sana. Nipo dar es salaam ikihitajika kuifuata nitaifuata kama ipo dar es salaam. Kama ipo mkoani tutaweka sawa namna ya kuipata. Natangulisha shukrani sana.
Wenu mpambanaji
 
Unataka upewe laptop moja kwa moja au una azima?

Mie naona bora ungesema unataka kukodi.

All in all I wish you the best
 
Hiyo ya kukodi si ndio itatakiwa kulipiwa na hapo ndio tatizo lilipo. Au nakodishiwa kwa muda nikirejea barabarani nirudishe kwa mwenyewe? Kama naazimishwa kwa muda bila malipo pia nitashukuru sana.
 
Kwa nini ukodishwe bila malipo wakati unaenda kuifanyia kazi itakayokupa hela???

Mie nilikua najaribu kukupa trick tu, kuliko kumuomba mtu kompyuta yake ni bora umwambie akukodishe kwa bei rahisi atleast anaweza kukuelewa.

Kukodisha sio lazima ulipe laki kwa siku, kutokana na ma,ingira yako unaweza kumuomba mtu akukodishe labda buku kwa siku, je utashindwa kumlipa mtu buku kwa siku na kazi unafanya.
 
Natamani iwe hivyo ila kila biashara inayoanza hutegemei faida hapo hapo au itanyooka tu.
Ndio maana nimeomba mwenye nayo ambayo hatumii. Huwezi jua mbeleni nitalipa fadhila kiasi gani.

Japo niliwaza atakayenisaidia nikimaliza project yangu hii ya kwanza ningemtengenezea website kwa ajili ya biashara yake. One year free kila kitu (hosting na domain + professional email) baada ya hapo atalipia kama kawaida
 
Wakuu kwema. Na imani mnaendelea poaa. Wahenga walisema kama nitakuwa sijakosea "omba nyavu ukavue samaki mwenyewe kuliko kuomba samaki kila siku"
Naomba msaada wenu kwenye hili kwa yule atakayeguswa. Niweze kupata laptop kwa ajili ya kuendeleza project yangu (ajira binafsi) ya web development
Mimi ni Mtaalamu wa masuala ya computer (IT Technician) ila nimeibiwa kitendea kazi (laptop) na kwa sasa sina uwezo wa wa kununua kingine na napoishi kodi inaisha, napambania kodi kwa sasa nisije kufurumushwa na nilikuwa na project naanza kufanya shared hosting na website design ila ndio imelala(mwisho wa siku hosting ita expire iwe msala zaidi). Kwa ajili ya kupata kipato cha ziada maana kutegemea mshahara tu hali tete kutoboa uongo. Msaada wenu kwa ambaye ana laptop ambayo haitumii, ipo stoo, au ni old kwake anisaidie iwe kama mtaji kwangu niendeleze harakati. Naomba anisaidie nijikwamue nayo. Niweze kujiendeleza na kumudu maisha. Nitashukuru sana. Nipo dar es salaam ikihitajika kuifuata nitaifuata kama ipo dar es salaam. Kama ipo mkoani tutaweka sawa namna ya kuipata. Natangulisha shukrani sana.
Wenu mpambanaji
kuleta uzi kama huu jamii forum ila nalo linaweza kuwa ni tatizo la akili hivi unaamini kabsa kuna mtu atajitokeza kwa kutumia ID's fake hizi akupatie msaada wa laptop broo?? emu kuwa serious mkuu acha kuchekesha
 
Hilo ni jina halisi. Na nina miaka 10 hapa JF. Hata ukitaka tuonane naweza mkuu maana siishi maisha fake mkuu. Naamini wapo wenye moyo wa kusaidia wengine
 
Back
Top Bottom