navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 156
- 167
Mungu akutangulie kiongoziHabari za kazi wanajamii? Mm ni muhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya bachelor of science with education majoring in PHYSICS and CHEMISTRY.Niko mbele yenu kuomba kama kuna shule yeyote ambayo inauhitaji wa mwalim mzur wa hayo masomo Niko teyari kufundisha mahari popote,nitafurahi kama nitafanikisha.Namba zangu ni 0658998683
ASANTENI SANA!
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah.!Wanakatisha tamaa sana!Hakuna shule ambayo haihitaji walimu specifically hayo masomo shida inakujaga kaitka malipo, na haya mambo ya elimu bure haya, mh!! uzuri wake maybe uanze ku volunteer, mana kuna kituo nipo naona bango la kwanza mlangoni ni hatupokei walimu wa kujitolea, inakatisha tamaa japo walimu hawatoshi kabisa kabisa
Uzuri kama ni mwalimu upo kwenye kada ambayo siasa tuu ndio kizuizi kikubwa lakini hitaji ni la kupitiliza, it is just the matter of time make your own name before expecting the government to do you a favor