MSAADA KWENYE TUTA;

navigator msomi

Senior Member
May 8, 2018
146
155
Habari za kazi wanajamii? Mm ni muhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya bachelor of science with education majoring in PHYSICS and CHEMISTRY.Niko mbele yenu kuomba kama kuna shule yeyote ambayo inauhitaji wa mwalim mzur wa hayo masomo Niko teyari kufundisha mahari popote,nitafurahi kama nitafanikisha.Namba zang
ASANTENI SANA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna shule ambayo haihitaji walimu specifically hayo masomo shida inakujaga kaitka malipo, na haya mambo ya elimu bure haya, mh!! uzuri wake maybe uanze ku volunteer, mana kuna kituo nipo naona bango la kwanza mlangoni ni hatupokei walimu wa kujitolea, inakatisha tamaa japo walimu hawatoshi kabisa kabisa
 
Habari za kazi wanajamii? Mm ni muhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya bachelor of science with education majoring in PHYSICS and CHEMISTRY.Niko mbele yenu kuomba kama kuna shule yeyote ambayo inauhitaji wa mwalim mzur wa hayo masomo Niko teyari kufundisha mahari popote,nitafurahi kama nitafanikisha.Namba zangu ni 0658998683
ASANTENI SANA!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akutangulie kiongozi
 
Hakuna shule ambayo haihitaji walimu specifically hayo masomo shida inakujaga kaitka malipo, na haya mambo ya elimu bure haya, mh!! uzuri wake maybe uanze ku volunteer, mana kuna kituo nipo naona bango la kwanza mlangoni ni hatupokei walimu wa kujitolea, inakatisha tamaa japo walimu hawatoshi kabisa kabisa
Daah.!Wanakatisha tamaa sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom