V Vakwavwe JF-Expert Member Joined May 16, 2009 Posts 503 Reaction score 100 Mar 11, 2012 #1 natafuta video cd ya kujifunza ms excel?mwenye nayo msaada tafadhali au kama unamfahamu mtu mwenye nayo.nataka ya advanced learning siyo beginners.
natafuta video cd ya kujifunza ms excel?mwenye nayo msaada tafadhali au kama unamfahamu mtu mwenye nayo.nataka ya advanced learning siyo beginners.
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,445 Mar 11, 2012 #2 Vakwavwe said: natafuta video cd ya kujifunza ms excel?mwenye nayo msaada tafadhali au kama unamfahamu mtu mwenye nayo.nataka ya advanced learning siyo beginners. Click to expand... Pakua hii torrent ya Lynda.com Download Lynda com Excel 2010 Essential Training + 2 Extra Courses - Team MJY Torrent | 1337x.org. size ya hiyo video file ni 1.08 GB Tafuta training za hao jamaa wa lynda zipo nyingi kwenye torrent na za level tofauti. kama hiyo ni cha mtomto kwako cheki hapa training zao na content zake then zitafute mtandaoni au ama una mshiko nunua
Vakwavwe said: natafuta video cd ya kujifunza ms excel?mwenye nayo msaada tafadhali au kama unamfahamu mtu mwenye nayo.nataka ya advanced learning siyo beginners. Click to expand... Pakua hii torrent ya Lynda.com Download Lynda com Excel 2010 Essential Training + 2 Extra Courses - Team MJY Torrent | 1337x.org. size ya hiyo video file ni 1.08 GB Tafuta training za hao jamaa wa lynda zipo nyingi kwenye torrent na za level tofauti. kama hiyo ni cha mtomto kwako cheki hapa training zao na content zake then zitafute mtandaoni au ama una mshiko nunua