Msaada kwenye tuta wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye tuta wana jf

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tanganyika1, Oct 18, 2011.

 1. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu habari za jioni. Ninashida ya kujua ni njia ipi mtu aliye maliza chuo kikuu kwa mkopo wa bodi ya mikopo anaweza kujua jumla ya pesa anazo daiwa? Natanguliza shukrani za dhati.
   
Loading...