Kwa mwenye uzoefu na Wadada/Mabinti wa Kabila la Wakisii toka Nchini kenya...Pls nishueni dondoo zao Kitabia.Kuna mmoja nimekutanae huku na kajitambulisha kuwa yeye ni Mkisii toka Kenya.Dalili zinaonyesha kafa kaoza juu yangu.Naomba mnifahamishe Madhaifu/Sifa yao.najua ma-GT mmetapaka kila sehemu hata huko Kenya pia mpo.