The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,436
Vipi siwezi kuharibu mtoto?ok fanya vile unaona inafaa hio ni mali yako kijana
Jibu swali wewe..Mungu nifundishe kunyamaza
View attachment 3446593
Ndoa ni maigizo yasiyo na hela by Dizasta.Mungu nifundishe kunyamaza
View attachment 3446593
Sasa leo tumefanya. Itakuwaje ?Kwanini usingesubiria mpaka miezi 6
Tangu wife ajifungue ni miezi mitatu sasa, na ndio nimeanza kushiriki tendo la ndoa na mke wangu
Vipi hapa, kutakuwa na shida yoyote kwenye swala kumbebenda mtot
Kwahyo Niibonde tu sio.Mkuu Mitatu yote iyoo , Me nililiamsha dude baada ya miezi 2 tuu na mpaka sasa hakuna nouuma wala nini ..hapo inakupunguzia kumletea mtoto manuksi ya michepuko coz unashiliki na mama ake , kiimani na kiafya sio nzuli sana kushiliki nje then unarudi home na kuwashika mtoto na mama ake na mda huo umetoka kutifuana nje ...
Kubemenda mtoto ni nini?Tangu wife ajifungue ni miezi mitatu sasa, na ndio nimeanza kushiriki tendo la ndoa na mke wangu
Vipi hapa, kutakuwa na shida yoyote kwenye swala kumbebenda mtoto?
Baba mzazi hawezi kuharibu mtoto ila mkeo awe makini anapo maliza kushiriki tendo awahi kuoga asimguse mtoto kabla ya kuoga,Vipi siwezi kuharibu mtoto?
Hahaha 😆 wewe mtoto msenge sanaWanawake ni viumbe wa ajabu sana kama mpaka na wewe umepata mke wa kuoa
Daa zoezi hili kwa muda ganiBaba mzazi hawezi kuharibu mtoto ila mkeo awe makini anapo maliza kushiriki tendo awahi kuoga asimguse mtoto kabla ya kuoga,
Na pia kuwe na shuka maalam ambayo mtatandika wakati wa mechi baada ya hapo mnaitoa,