The Wisdom
Senior Member
- Oct 20, 2011
- 182
- 56
Jaman naomben msaada wa kuattach picha
naomben njia au nifanye nini?
naomben njia au nifanye nini?
jaman natumaini ni wazima!
natumain anayeuliza anahitaji kujua coz hakuna aliyezaliwa anajua
mara nyingi huwa natumia sana simu lkn nikitaka ku upload picha huwa inanikatalia na hiki hii wiki
nimejaribu kutumia cmpter bado inanigomea
nisaidien plz nitumie njia zipi?
mkinisaidia ntajiskia:israel::majani7::violin: