kama upo dar nenda kariakoo kwenye makutano ya uhuru na msimbazi, kama unaanza kuelekea mnazi mmoja mkono wa kulia utaona jamaa wamening'iniza adopter nyingi tu used kwa corridor.
kama upo dar nenda kariakoo kwenye makutano ya uhuru na msimbazi, kama unaanza kuelekea mnazi mmoja mkono wa kulia utaona jamaa wamening'iniza adopter nyingi tu used kwa corridor.
Mkuu Never give up niko Dar na kote huko nimeshakatiza sijapata.. Ndo maana nimeleta hapa ili hata kama member yuko nje ya nchi aniangalizie kama anaweza kuninunulia tuongee..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.