..hasa hasa kwa jini mahaba linalomsumbua...sasa komrade umeoa kikristo halafu unaleta hapa matatizo yako ya tamaa peleka huko huko uliko olea
i mean KWA KRISTO NDIO DAWA; HAPA NI KAMA KWA MGANGA WA KIENYEJI HATIBU PEPO ILA ANAKUPA PEPO KUBWA KUTULIZA LILE DOGO KUMBUKA KUBWA NALO LITACHARUKA SIKU MOJA
wow!! hapo kwenye blue panahusika..sikujua kumbe master degree nikakigezo kwenye malavidave..hehe ngoja na mie nianze kuitumia master degree yangu yaweza nipa mrembo wa haja bila hata ya kua na #$$ kumbe plus sijaoa na nipo below 30..lol.Nina miaka 33,nimeoa ndoa ya kikristo miaka 5 ilopita,na nina watoto 2. Nashindwa kujua tatizo langu ni nini,mke wangu ni mrembo wa sura,ananipenda na namwamini kuwa hana mtu nje,lkn kwa kweli mnimekuwa mtu wa tamaa sana kwa warembo wa nje kiasi kwamba naahisi kama nina pepo hivi. Swali hasa kwa wanaume waliooa,(wenye uzoefu ndoani)hivi hii ni kwangu tu au nao walipita stage hii? Na je nawezaje kutocheat? Na je wanaume walioko ndoani (km mm) wanaweza kuwa na mke wa ndoa tuuu? bse mimi naona mtihani kwelikweli na kama mtu ataona binti ninayetoka naye nje ya ndoa atashangaaa,labda ataona bse of her master's degree... (Kama hujisikii kuchangia just leave it,sio unze ku-provoke hapa)
Na kama si mkristo atamani tu mwanamke asiye wa kwake
Funga speed gavana mkuu na amini mkeo ndiye bora kuliko wanawake wengine
Nina miaka 33,nimeoa ndoa ya kikristo miaka 5 ilopita,na nina watoto 2. Nashindwa kujua tatizo langu ni nini,mke wangu ni mrembo wa sura,ananipenda na namwamini kuwa hana mtu nje,lkn kwa kweli mnimekuwa mtu wa tamaa sana kwa warembo wa nje kiasi kwamba naahisi kama nina pepo hivi. Swali hasa kwa wanaume waliooa,(wenye uzoefu ndoani)hivi hii ni kwangu tu au nao walipita stage hii? Na je nawezaje kutocheat? Na je wanaume walioko ndoani (km mm) wanaweza kuwa na mke wa ndoa tuuu? bse mimi naona mtihani kwelikweli na kama mtu ataona binti ninayetoka naye nje ya ndoa atashangaaa,labda ataona bse of her master's degree... (Kama hujisikii kuchangia just leave it,sio unze ku-provoke hapa)
Hujatulia hata kidogo.Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Wewe ni mchafu.
Bangi tu hizo,huna lolote.....na nina wasiwasi hii ni multiple ID case.....
na kwa kua mkeo
ni mrembo sio kwamba hatongozwi!
siku akijua unalo baba,utalia coz huko ni
kujiendekeza!mfanye mkeo atawale mawazo yako!
wanaume mnasababisha wake zenu kufanya mambo ambayo
hawajawahi kuyawaza!acha hiyo tabia ni mbaya tulia na mkeo!
Siamini hii coment umeandika wewe kuna mtu kaiba password yako aisee
Nimegundua kumbe kapost wifi yako mimi nisinge post hivi i see, nimekumiss mzima lakini?