Msaada kwenye tuta; bei ya tiles za kichina Arusha

Tsidekenu

Senior Member
May 7, 2009
141
41
Wadau habari,
Naomba Msaada kwa walioko arusha au wanaofahamu bei za tiles arusha. Naomba msaada ufuatao.

1. Bei za Ceramic Tiles per sqare metre na bei za porcelain tiles(za jikoni na bafuni zisinyonya maji)
2. Maduka gani wanauza na yako sehemu gani arusha

asanteni sana.
 
Back
Top Bottom