Msaada kwenye simu yangu NOKIA E61i | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye simu yangu NOKIA E61i

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Muangila, Dec 7, 2011.

 1. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Wakuu naomba utaalamu wa kumaliza tatizo la sim yangu ni kwamba inaonyesha headphones zipo connected kwenye simu wakati sijaziconnect hivyo siwezi kupiga simu wala kupokea mpk niweke headphone hata loudspeaker haikubali
  msaada pliz ndugu zangu.
   
 2. M

  Maengo JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribu kuiflash labda. Tumia codes hizi *#7370#, *#7780#. Tahadhari: ni muhimu kuhamisha vitu vyako muhimu zikiwemo contacts kwa sababu ukiflash inafuta kila kitu ng unaanzg upya kama vile simu ni mpya!
   
 3. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Naomba steps za kuiflash mkuu km ni baada yakubofya hizo no niipe dial au?
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  ukiandika hizo code then unadial ok.lakini tatizo lako inaweza kuwa ni jack pin ya headphone imejam labda uliingiza hedifoni kubwa.chunguza hilo tundu
   
 5. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Hii headphone ni original yake ngoja ngoja nijaribu kuflash nione.Nashukuru sana
   
 6. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hujasema kama umejaribu kuselect microphone kwenye settings options ikashindikana.
   
 7. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Nimejaribu kuselect lnk imekataa mkuu hata hizo code za kuflash nikidial inaniambia request nit completed
   
 8. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Bwana kaka nashukuru kwa msaada lkn nikiingiza code inasema requet not cmplited nimejaribu kuziingiza kweye ORIGINAL PHONE SETTING napo inaniambia END ACTIVE CALL AND CONNECTION FIRST nadhani hii ni kwa sababu headphone inaonekana imeungwa ,msaada zaidi plz
   
 9. c

  cc_africa Senior Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zima simu yako kisha bonyeza nyota na number 3 na switch on. Kwa wakati moja. Mpka simu iwake.
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Dec 16, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,816
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  toa memory card zima simu then toa betry, rudisha betry washa simu vile ikiwaka tu bonyeza y(3), u(*) na kidude cha kupigia simu kwa mpigo utaona screen inakua white then ur done usisahau only button tatu cha kupigia simu y na u
   
 11. newtonfox

  newtonfox Senior Member

  #11
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  pia sometime uchafu kwenye sehemu ya kuwekea headset unaweza kuchangia hiyo kitu kama unahutaalamu kwenye ufundi nenda kwa fundi simu akusafishie kwa dawa maalumu kusudi kuondoa kutu zinazofanya simu ionekane ionyeshe connected
  ****pia spirit inasaidia ni hayo tuuuuu**
   
 12. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Nashukuru kwa msaada wenu wakuu nimefanikiwa 100%
   
 13. security

  security JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2014
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sirudi face book. Hata mimi nilikuwa na same problem. Safi.
   
Loading...