Habar wakuu...mdogo wenu Jana nimechezea zile za TRAB na TRAT..kwa kufikisha mchanga site bila kuwa na Kibali...naombeni kufaham process huwa zipoje maana wale mabwana wale....ni balaa rushwa nje nje...
Basi wa huko ni wakali hadi kwenye kuanza kupeleka materials wanakunasa. Huku Salasala wanakusubiri ukianza ujenzi tu umesimamisha ukuta Wanakuja kukuandikia ukutani SIMAMISHA UJENZI FIKA K.M.C hapo 350k lazima ikutoke
Habar wakuu...mdogo wenu Jana nimechezea zile za TRAB na TRAT..kwa kufikisha mchanga site bila kuwa na Kibali...naombeni kufaham process huwa zipoje maana wale mabwana wale....ni balaa rushwa nje nje...
Zingatia haya;
1. Chora ramani ya nyumba
2. Tengeneza section
3. Muonekano wa nyumba pambe zote nne...(3D plan)
4. Ramani ya paa kwa muonekano kutoka juu
5. Chora site plan.
6. Gonga mihuri kwa architect aliyesajiliwa.