msaada kwenye @Playstore.

msaada kwenye @Playstore.

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
hi memba?
memba wezangu nkitaka kudauloading apps kwa upande was play store INA loading muda mrefu ttzo nini?
natumi mtandao was vyoodakom.
 
hi memba?
memba wezangu nkitaka kudauloading apps kwa upande was play store INA loading muda mrefu ttzo nini?
natumi mtandao was vyoodakom.

Tatizo ni huo mtandao unaotumia..vyoodakom? Any way ngoja aje CHIEF MKWAWA atakusaidia
 
Last edited by a moderator:
App gani? Itakuwa ni eneo uliopo labda hakuna connection nzuri.
 
Admet 3G.

Mmh simu yako hiyo brand sio kitoto.
Embu nenda kwenye setting kisha angalia kama utaona neno Network and wireless, connection, au lolote kuhusu network...kisha lifungue na tafuta neno mobile network kisha fungua na nenda walipo andika acces point .ukifanikiwa kufika acces point niambie tuendelee.
 
nikishindwa ntaku @PM mkuu wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom