Msaada Kwenye Maombi ya Ajira

Msaada Kwenye Maombi ya Ajira

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
84
Reaction score
291
Ninatengeneza akaunti ya kuombea ajira kwenye website ya TAMISEMI.


Lakini kwenye kuhakiki taarifa zngu za nida nimeombwa number niliyosajilia NIDA ila nimesahau hyo imepelekea nishindwe kuendelea maana wanahitaji hiyo nisaidieni nitafanya nn kuweza ku figure out tatzo hili.

Nawasilisha.
 
Kuna baadhi ya vitu, mtu akishindwa kujua au hana kitu fulani hua nashangaa sana tena hasa akiwa kijana
Mfano, ni kitambulisho cha Taifa
 
Back
Top Bottom