Msaada kwenye laptop yangu

msani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
1,800
Reaction score
1,195
Kwanza najipa pole maana walinipiga laptop na docs zote kupotea.
Sasa nimenunua mpya ina window 8 na HDD 750GB ila 650GB zote zipo Local C na zilizobaki zipo local D.
Je nawezaje kuzigawa na maana nilisikia kuwa local C so nzuri kutunzia documents?

NB: window 8 nilikuta imeishawekwa.
Msaada kuhusu hili
 

unaweza kuzigawa ni jambo rahisi sana s
 

unatakiwa upige window chini na ku format upya ili ugawe partition upya.vinginevyo itakuwa ngumu
 
inawezekana kigawa kabisa bila kuweka window nyingine, sina utalaamu huu, ila nilishawahi kuwa na shida kama hii nikampelekea jamaa akalekebisha, yangu ilikuwa na partition tatu nikamwomba aniwekee mbili na apungunguze C, iliwezekana bila kupetea doc yoyote. subiri watalaam wanakuja.
 

Inawezekana kabisa. Pendekezo local C iachie GB 200 tu. Kama upo kwenye PC baada ya dk 30 nipigie ili tufanye partion pamoja. Ni rahisi sana
karibu 0784 496 856
 
Inawezekana kabisa. Pendekezo local C iachie GB 200 tu. Kama upo kwenye PC baada ya dk 30 nipigie ili tufanye partion pamoja. Ni rahisi sana
karibu 0784 496 856
Asanteni sana ingawa sijapata suruhu.
Mkuu naelekea kibaruani nitakupigia simu unisaidie.
Asante sana kwa moyo huo
 
Ni rahisi kugawa hard disk
Fuata maelezo haya;

Pale kwenye desktop kuna shortcut ya computer
Right click icon ya computer au my computer , then chagua manage

Ukiwa kweny manage
Upnde wa kushoto chagua disk management itakuletea jinsi hard disk ilivyo kwa upande wa katikati.

Right click partition ya c halafu chagua shrink

Baada ya hapo utaletewa sehemu ya kuweka size ya partition.

Kazi kwako tu.
 

mkuu mimi galaxy yangu imepoteza application zote imebaki only setting na camera nifanyaje msaanda please
 
tafuta hii software itakusaidia kwenye tatizo lako kama kama nilivyoelekezwa, google na uisome jinsi ya kuitumia inaitwa; EaseUS Partition Master 9.3.0
 
mkuu mimi galaxy yangu imepoteza application zote imebaki only setting na camera nifanyaje msaanda please

Hapo inabid kufuta irudi kama ilivyotoka kiwandani ( factory data reset)

Ingia kwenye settings then chagua privacy
Hapo ndani utakuta factory data reset

Chagua hio ili kufuta vitu vyote baada ya hapo itarudi katika hali yake ikiwa na application zote.

Tahadhari: factory data reset will delete all the data in your phone
Phone #s , images, docs

Fanya back up kabla .

Kazi kwako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…