Msaada kwenye laptop keyboard language

ton11

Senior Member
Joined
Apr 8, 2019
Posts
110
Reaction score
150
Wakuu kwa yeyote mwenye ufahamu nina laptop yangu 'mpya dell inachanganya keys zake (baadhi) mfano nikipress "y'myenyewe inaandika "z" nikipress "z" inaandika "y" halafu kwenye zile symbol sasa hapo ndo balaa maana ukiweka @ inaku ja ' au ialama nyinginw kabisa je kuna mtu anaelewa solution ya hii kitu?
 
Kamanda ili tatizo umefaanikisha kulitatuwa? Nijuze aisee nami nime pata laptop Kama ipo Kama ivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simple solution, nenda device manager > tafuta keyboard > update then restart PC.
NB. Kuna key ambayo ukibofya kwa combination ya window key Ina change key pad behavior Nafikiri inapakana na number Tisa iliyoko usawa wa fn keys. Tumia njia ya kwanza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…