Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,903
- 19,649
Muombe haraka sana asije weka chuki nafsiniWasalaam.
Hii ni Kwa wanaume wenzangu japo hata akina dada,mama mnaweza toa ushauri.
Iko hivi,
Juzi, yaani jumamosi,
Nilijichanganya kwa kuhisi nimepotelewa na kifaa changu ndani cha muhimu mno,yaani mno.
Sasa kumbe kuna mtu aliniazima na Mimi nikasahau kabisa kuwa nimeazimisha Mtu.
Basi katika kutafutatafuta na kukosa ,tuhuma zote nikazielekeza Kwa kijana wangu,ambaye muda mwingi sikai naye kwani huwa anaishimkoani anakosoma.
Basi nilitoa maneno yoooote mabaya,huku mwanangu akikataa hajahusika ,nikamsogelea nikamtikisa kama kutaka kumpiga, lakini kijana akapiga magoti huku akidai hajachukua kifaa kile.kwani Hana kazi nacho.
Kwahiyo tangu juzi tumekaa Kwa kukwepana huku nikiamini kijana kapoteza kifaa changu,
Chaajabu jioni hii saa 11 nimeletewa kifaa na mtu niliyekuwa nimemuazima huku akishukuru kwakuwa kimemsaidia mno ,ni takribani wiki tatu zimepita tangu aazime.
Sasa ,najikuta mwenye hatia,mwanangu nimemuonea,natamani hata nimuombe msamaha,je, inawezekana kumuomba msamaha mwanao wa kumzaa?
Majibu yenu tafadhali.
Vipi mkuu, umesharudi kutoka mwanza na passo yako?Kumpa amani pia kwako ni heri umuombe msamaha, Muite pembeni kwa utulivu sana kisha ongea kumuomba msamaha...hii itampatia amani zaidi. Usipofanya hivyo hatokaa asahau kamwe tukio hilo wala kuachilia, ataweka hiyo kitu moyoni mpaka anakufa.
MUOMBE MSAMAHA TU.
Nimelia sana ulipoita gari langu PASSO 🤣 sijarudi nipo hadi nanenae iishe kwanzaVipi mkuu, umesharudi kutoka mwanza na passo yako?
Au bado unainjoy samaki
Tunajipinda kutoa ushauri kumbe anachekesha tuTatizo huu uzi umewekwa kwenye jukwaa la vichekesho na utani.
Hatujui kwamba uko serious au laah!
Hii kitu iliwahi nikuta nikiwa nimetoka kumaliza shule ya msingi miaka ya 90 huko. Mzee wangu aliaminishwa na mama mlezi ambaye na mke wake kuwa nimeiba kitu na kukiuza. Nilipoulizwa nilikataa kuwa sijachukua na kweli sikufanya hicho kitu.Wasalaam.
Hii ni Kwa wanaume wenzangu japo hata akina dada,mama mnaweza toa ushauri.
Iko hivi,
Juzi, yaani jumamosi,
Nilijichanganya kwa kuhisi nimepotelewa na kifaa changu ndani cha muhimu mno,yaani mno.
Sasa kumbe kuna mtu aliniazima na Mimi nikasahau kabisa kuwa nimeazimisha Mtu.
Basi katika kutafutatafuta na kukosa ,tuhuma zote nikazielekeza Kwa kijana wangu,ambaye muda mwingi sikai naye kwani huwa anaishimkoani anakosoma.
Basi nilitoa maneno yoooote mabaya,huku mwanangu akikataa hajahusika ,nikamsogelea nikamtikisa kama kutaka kumpiga, lakini kijana akapiga magoti huku akidai hajachukua kifaa kile.kwani Hana kazi nacho.
Kwahiyo tangu juzi tumekaa Kwa kukwepana huku nikiamini kijana kapoteza kifaa changu,
Chaajabu jioni hii saa 11 nimeletewa kifaa na mtu niliyekuwa nimemuazima huku akishukuru kwakuwa kimemsaidia mno ,ni takribani wiki tatu zimepita tangu aazime.
Sasa ,najikuta mwenye hatia,mwanangu nimemuonea,natamani hata nimuombe msamaha,je, inawezekana kumuomba msamaha mwanao wa kumzaa?
Majibu yenu tafadhali.
Jamaa mpaka sasa hajatokea ku reply. Isije ikawa ametulia zake anawacheki maboya wanavyo hangaika ku type gazeti la ushauri.Tunajipinda kutoa ushauri kumbe anachekesha tu