Msaada kwenye Iphone 4

Msaada kwenye Iphone 4

Joba

Member
Joined
Mar 9, 2010
Posts
9
Reaction score
0
Nimepata tatizo kwenye handset yangu naomba wanaoweza wanisaidie kwenye tuta.

Ni hivi simu yangu (iphone 4) imezimika kwenye screen lakini ukiita inaita (kwa anaye piga) ingawa kwangu haioneshi lolote. Nimejaribu kuseek advice nkaambiwa labda ni virus. Nifanyeje jamani?

NB. Kama hujui na huna utaalamu usichangie hapa!
 
Back
Top Bottom