msaada kwenye installation

wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,931
3,299
respect great thnkers....jaman my pc ni mini laptop samsung, haina port ya cd, hvyo nimejarb kukopi kwenye flash, lakin inagoma kuinstal...sasa nauliza ni nn cha kufungua ktk list ya folders zinazoonekana, si mnajua cd ni rahis ukiweka tu inaanza ku instal, plz msaada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom