Msaada kwenye idm

Msaada kwenye idm

nenda Google Andika (Eagle Get Free download) fata maelekezo ingiza kwenye Pc yako.

Hii ni nzuri sana Unaweza kudownlod vitu vingi kwa wakati 1 na haisumbui kama IDM.

Asante mkuu ntaijaribu nione,
 
Tumia baidu browser au ucbrowser zote zina download manager hivyo hutasumbuka kucrack/patch mara kwamara
 
Chief juzi usiku nilitaka kudownload windows 10 kwenye piratebay, kila nilipoklick magnet link haikunipeleka kwenye utorent kama siku za nyuma ambapo nilipakua chochote nilichohitaji. Kifupi iligoma na kuleta ujumbe nijisajili kwa gharama tofauti tofauti, mfano kwa mwezi, miezi mitatu nk. Hii kitu wameanzisha piratebay? Ufafanuzi mkuu
 
matangazo tu itakuwa, una adblocker?
 
Hapana sina mkuu
ulimwengu huu internet bila adblocker ni majanga, utakutana na vimbwanga vya kila aina.

search browser yako mbele ikifuatiwa na neno adblocker,

mfano firefox adblocker

halafu instalk hio adblocker ndio uendelee
 
Sawa ngoja nifanye ulivyosema, So piratebay haina charges zozote unapotaka kudownload.
 
ulimwengu huu internet bila adblocker ni majanga, utakutana na vimbwanga vya kila aina.

search browser yako mbele ikifuatiwa na neno adblocker,

mfano firefox adblocker

halafu instalk hio adblocker ndio uendelee
Thank you chief, nimefanikiwa.
 
Back
Top Bottom