Kama uliinunua tigo,nenda wakaifanyie OS update,kuna special version ya OS kwa ajili ya hizi simu,hata yangu ilikua na tatizo kama lako ila since nifanye hii update hamna tena hilo tatizo,au kama unaweza download hiyo update from huawei website,ni kama 500MB tu na maelekezo ya kufanya update yako pale.