Msaada kwenye HP COLOR LASERJET 2840

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Habari waheshimiwa,
Nimekwama hiyo printer ina print mixed colours kote kwenye black and white na pia kwenye color option, nimejaribu kuweka catridge mpya matokeo yamekuwa yale yale nimechukuwa cartridge zilizomo na kuziweka kwenye printer nyingine, zimefanya kazi, naomba msaada kujua tatizo linaweza kutatuliwa vipi,ntanguliza shukurani.
Tatizo linanikwamisha zaidi kwa sababu kwenye kutumia upande wa photocopying inafanya kazi kwenye colur na black bila shida.
Asante.
Rakey
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom