Msaada kwenye hotspot ya iPhone 4s

Msaada kwenye hotspot ya iPhone 4s

Nyaluhusa87

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
1,303
Reaction score
262
Habari zenu wakuu!!
Natumia iPhone 4s na nimeupgrade iOS mpaka 7.1.Nilikuwa natumia vizuri tu hotspot mpaka juzi sijui imejifuta au nimefuta bila kujua lakini haipo kwenye setting,nimejaribu kutafuta solution kwenye internet kila nalojaribu nimeshindwa mpaka nime reset all setting na vitu vyote kwenye simu sijapata solution.Naomba mnisaidie njia nyingine ya kufanya maana naona nimeshindwa.
 
nenda general kisha cellular utaikuta huko. general ya kwenye setting
 
Kwenye general hakuna option ya cellular

Sent from my iPhone using JamiiForums
nenda general kisha cellular utaikuta huko. general ya kwenye setting

Nyaluhusa kama unatumia mtandao wa Tigo, BOL hautakuta Personal Hotspot kwenye settings. Hii ni kwasababu Apple walivyoUpdate ios kwenda 7.1 wameondoa Hotspot kwa Carrier Companies ambazo zinaruhusu unauthorised usage ya Personal Hotspot wakiwemo Tigo, BOL, . badilisha line weka ya Airtel au Vodacom utaona hotspot imerudi,,
 
Nyaluhusa kama unatumia mtandao wa Tigo hautakuta Personal Hotspot kwenye settings. Hii ni kwasababu Apple walivyoUpdate ios kwenda 7.1 wameondoa Hotspot kwa Carrier Companies ambazo zinaruhusu unauthorised usage ya Personal Hotspot wakiwemo Tigo. badili line weka ya Airtel utaona itarudi,,

Lakini mkuu nilikuwa natumia hata baada ya kuiweka hiyo iOS 7.1!!Nitajaribu hiyo kesho maana sina ile ya kukatia line niweke hiyo ya airtel.kweli natumia Tigo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lakini mkuu nilikuwa natumia hata baada ya kuiweka hiyo iOS 7.1!!Nitajaribu hiyo kesho maana sina ile ya kukatia line niweke hiyo ya airtel

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi yangu ilitoweka nilivyoUpdate kwenda 7.1.1 wiki mbili zilizopita ila nilivyo switch line kwenda Airtel na Vodacom, settings zikajiRefresh zenyewe in 1minute hotspot ikarudi. Naona hizi updates za kuanzia 7.1 na 7.1.1 zimeleta usumbufu kwa watumiaji wengi wa iPhone kwa upande wa Tethering. ila sababu kuu ni hiyo ya kuzuia unauthorised tethering ,,
 
Mimi yangu ilitoweka nilivyoUpdate kwenda 7.1.1 wiki mbili zilizopita ila nilivyo switch line kwenda Airtel, settings zikajiRefresh zenyewe in 2minutes hotspot ikarudi. Naona hizi updates za kuanzia 7.1 na 7.1.1 zimeleta usumbufu kwa watumiaji wengi wa iPhone kwa upande wa Tethering. ila sababu kuu ni hiyo ya kuzuia unauthorised tethering ,,

Thanks mkuu kwa hiyo idea sikuwa nayo.Ngoja nifanye mpango wa kuhama Tigo!!sasa ukiitaka iwepo kwenye Tigo tunafanyeje?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Thanks mkuu kwa hiyo idea sikuwa nayo.Ngoja nifanye mpango wa kuhama Tigo!!sasa ukiitaka iwepo kwenye Tigo tunafanyeje?

Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu mimi binafsi solution niliyonayo kichwani kwa haraka haraka, kama hautaki kutumia mitandao mingine unataka Tigo tu basi hapo inabidi kuJailbreak na kuInstal tweak moja hvi ya Tethering inaitwa 'MyWi',,nakumbuka miaka hiyo nikitumia 3GS ilikuwa haina Personal Hotspot lakini nilivyoiJailbreak na kuInstal mywi nikaweza kufanya Tethering,,japo sina uhakika kama Jailbreak ya hiyo 7.1 inapatikana tayari kwa Untethered!!

Option nyingine labda ni kwenda kuwaona Tigo kuwaelezea hiyo ishu ili wa Activate APN yako. Kitu ambacho sidhani kama wanaweza..
 
Mimi yangu ilitoweka nilivyoUpdate kwenda 7.1.1 wiki mbili zilizopita ila nilivyo switch line kwenda Airtel na Vodacom, settings zikajiRefresh zenyewe in 1minute hotspot ikarudi. Naona hizi updates za kuanzia 7.1 na 7.1.1 zimeleta usumbufu kwa watumiaji wengi wa iPhone kwa upande wa Tethering. ila sababu kuu ni hiyo ya kuzuia unauthorised tethering ,,

Leo ndio nimeweka Airtel imerudi hotspot

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Leo ndio nimeweka Airtel imerudi hotspot

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hata kwangu huwa option ya tethering inapotea ila inarudi yenyewe.. Tena kuna wakati P.H ikionekana, data haifanyi kazi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata mimi hivyo hivyo... Nahama Tigo

Niliwafata Tigo mlimani city wakasema niwape siku mbili watanitatulia tatizo hadi sasa ni week hamna solution nimeamua kuhama Tigo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Niliwafata Tigo mlimani city wakasema niwape siku mbili watanitatulia tatizo hadi sasa ni week hamna solution nimeamua kuhama Tigo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Tigo watachukua muda kidogo kurekebisha loopholes kwenye mtandao wao ili tethering ikubali kwa IOS 7.1+..
 
Switch ON

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
naona tigo washarudisha hiyo HOTSPOT YETU KWENYE ioS 7.1.1
enjoy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom