huelewekiTumia if formula.
Iko pouwa
Grade au divisionna mimi nahitaji kuondoa penalty kwenye template yangu
yaan grade ziwe calculated bila kumpiga mtu penalty but masomo saba ya kwanza ndo yawe calculated first......
divisionGrade au division
Division inabidi uwe na pointdivision
tumia vlookup, hiyo nyingine ni ndefu zaidi na pengine ngumu kuielewadivision
Excel kupanga matokeo, divisions na pointswataalamu wa excel msaada. Mimi ni mwalimu. Nina orodha ya wanafunzi wangu na alama walizopata katika mtihani. Lengo ni kubadilisha alama katika asilimia kwenda kwenye mfumo wa daraja A, B, C , D OR F kwa kila somo. Changamoto inakuja pale ninapo kopi formula ya nested if function. Kwenye masomo ya option ninapata error kwa sababu hayana alama (yapo wazi). Nitatatuaje hili? Ahsante.