Msaada kwenye dekoda ya wiztech mpeg 4

Msaada kwenye dekoda ya wiztech mpeg 4

Sambuka

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
317
Reaction score
33
nimetumia MediaCom mda mref sana.
leo nimepata WizTech mpeg 4,
dish ft 6 lnb ya local na KU ya nigeria na ile ya kenya.

Tatizo nililonalo ni
MAJINA YA SATELITE ZILIZO NA LNB SIZIONI,

NAHITAJ NIONE intelsat 906,
nss 12 e
na Ku pass 7 / 10
kama ilivo kwny MediaCom mpeg2. nifanyeje. wadau ili WizTech ipige kaz?
 
Mkuu sio lazima uzione Settelite husika ili kupata channel unazozihitaji, kama ina blind search fanya blind search ktk settelite mbili za KU na moja ya KU utazipata channel zote au ingiza channels manual.
 
Eeee bwana mi nipo mwanza hizo receiver mpeg 4 zinzpatikana duka gan na bei ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom