Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,588
- 7,352
Sio lazima ifike 100% mkuu hata 70 inatosha...as long as taarifa muhimu zote zipo
hujaitwa wapi mkuuuNina 71 sijawahi itwa
Ukisha scan tayari hyo ni softcopy itaipigaje muhuri wakati sio tangible thing?vyeti vinafanyiwa certification na Wakili/mwanasheria kwa kugongwa muhuri wake
Vyet unavscan kwanza af vile ulivoscan ndio vnapgwa mhuri wa mwanasheria
ukishafany hvo ndio unascan afu unaviupload kwny sistimu
Yap kuscan na kprint coloured tena af ndo upige mhuri then uscan tena ile softcopy iupload kwny sistimUkisha scan tayari hyo ni softcopy itaipigaje muhuri wakati sio tangible thing?
Au ulimaanisha kuscan na kuprint coloured kisha kupiga muhuri wa mwanasheria then kuscan tena ndio ku-attach kwenye ajira portal
kaongo kwa ile kazi au?Mimi niliweka vyeti tu 40%nikaitwa.
Afu sikwenda
Ha ha h. Nshasema sikwendakaongo kwa ile kazi au?
Mkuu umesomea niniKu certify vyeti na barua kua na signature sina mashaka navyo .. huenda bahati haija ni dondokea ...
Si lazimalazima kuandika kwa mkono????
Barikiwa sanaJINSI YA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA AJIRAPORTAL NA KUJAZA TAARIFA MUHIMU
kwa maelezo zaidi pitia link ifuatayo inaelezea hatua kwa hatua kuanzia kujisajiri (registration) na kujaza taarifa zako inahusisha picha ambazo zitakuwezesha kujua wapi unashindwa au unakwama wapi pia jinsi hiyo profile itakavyoweza kufika angalau 70 uweze kuitwa kwenye usaili
link:Jobtipstz: JINSI YA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA AJIRAPORTAL NA KUJAZA TAARIFA MUHIMU
Tuko weng mkuu, bahat zetu bado, Inshallah Mungu atatusaidiaKu certify vyeti na barua kua na signature sina mashaka navyo .. huenda bahati haija ni dondokea ...
Mzee ujaeeka cheti chako kimoja cha kule dodoma pale milembe ukiweka inafika mia fresh kabisaHeri?
Napata tabu kidogo sijui ndio iko hivyo au la , kwenye ajira portal ujazaji wangu wa taarifa binafsi na makorokoro kibao bado ina soma 92% completed.
Kuna uwezekano huenda sija wahi kuitwa kwenye usahili wa ajira za serikali kisa hii 92%? Au ni mpaka ifike 100%?
Au kuna kitu sija kiweka sawa walau basi isogee hata 95% kama sio 98% hata 100% kabisa.
Wewe ulikiweka?Mzee ujaeeka cheti chako kimoja cha kule dodoma pale milembe ukiweka inafika mia fresh kabisa
barikiwa na wewe, karibu piaBarikiwa sana