bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 798
Habari wanajamvi?
Jamani kwa wale ambao mara nyingi tumeumwa ama kuona ndugu au jamaa au marafiki wakiwa wamelazwa utaona wanatumia ile inaitwa "kanyula" ili drip iingie kwa mishipa.Au kama wanachoma IV yeyote kwa mara nyingi wanapenda pia kuvalisha hiko 'kikanyula' ili wachome sindano.
Swali;
Kwanini 'kanyula' haiwekwi matakoni kama unasindano za masaa? Badala yake kila sindano unachoma tu kila ukienda?