Msaada kwa yoyote mwnye utaalamu

Maseke ya Meme

JF-Expert Member
Jul 11, 2007
695
914
Ninafikiria kutafuta jinsi ya kuanzisha biashara na kuchukua mkopo benki. Nina wazo na mpango wa kufikirika tayari nataka kuuweka kwenye mtiririko wa kiataalamu sasa

Nina omba msaada kwa wanaJF wenye utaalamu wa kutengeneza business plan au samples za proposals au any source ninayoweza kupata the stuff anisaidie jamani

Ninajua JF in kila mtaalamu na nitapata msaada huo

Nasubiri kutoka kwenu bandugu
 
Last edited:

waweza wasilina na hawa wafuatao watakusaidia wazo lako 100%

mobile +255 754 389508
Office +255 23 2603765, 2603658, 2603652
Fax +255 23 2603768
Uliza Mkurugenzi, au killo lussewa ama any Business Develeopment Officer watakusadia tatizo lako. Hakuna kuzungushwa wako straight kwa kila jambo. Ukifanikiwa ama ukikwama karibu kutujulisha
 
Back
Top Bottom