Msaada kwa yoyote mwnye utaalamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwa yoyote mwnye utaalamu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mzuzu, Jan 7, 2009.

 1. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2009
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Ninafikiria kutafuta jinsi ya kuanzisha biashara na kuchukua mkopo benki. Nina wazo na mpango wa kufikirika tayari nataka kuuweka kwenye mtiririko wa kiataalamu sasa

  Nina omba msaada kwa wanaJF wenye utaalamu wa kutengeneza business plan au samples za proposals au any source ninayoweza kupata the stuff anisaidie jamani

  Ninajua JF in kila mtaalamu na nitapata msaada huo

  Nasubiri kutoka kwenu bandugu
   
  Last edited: Jan 7, 2009
 2. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2009
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wasiliana na +255 732 993834 kwa SMS
   
 3. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2009
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  waweza wasilina na hawa wafuatao watakusaidia wazo lako 100%

  mobile +255 754 389508
  Office +255 23 2603765, 2603658, 2603652
  Fax +255 23 2603768
  Uliza Mkurugenzi, au killo lussewa ama any Business Develeopment Officer watakusadia tatizo lako. Hakuna kuzungushwa wako straight kwa kila jambo. Ukifanikiwa ama ukikwama karibu kutujulisha
   
Loading...