Kama una shamba ingia porini upande miti hata 10 kwa kadri ya uwezo wako.Darasa LA saba wakipata fursa ya kuwekeza wanaanza Mara moja,unachotakiwa ni kununua miche na kwenda kupanda kiongozi.Mimi kila Mwaka lazima nipande Miche ya miti,embe,michungwa,minazi,mikorosho hata kama Nina lakimoja ilimradi Nina ardhi.