Msaada: kwa yeyote mwenye mpango biashara (business plan) wa kilimo cha parachichi au maembe

melanin gal

Member
Sep 8, 2016
57
22
Habarini za muda huu wakuu...
Naomba yeyote mwenye mpango biashara wa kilimo cha parachichi au maembe anisaidie.
 
Kama una shamba ingia porini upande miti hata 10 kwa kadri ya uwezo wako.Darasa LA saba wakipata fursa ya kuwekeza wanaanza Mara moja,unachotakiwa ni kununua miche na kwenda kupanda kiongozi.Mimi kila Mwaka lazima nipande Miche ya miti,embe,michungwa,minazi,mikorosho hata kama Nina lakimoja ilimradi Nina ardhi.
 
Sawa... Asante.
 
Hahaaa well said wasomi wanahangaika sana na analysis, mimi nimefika Njombe wiki ya pili tuu nimepanda miti sasa nimesikia kuhusu palachichi nitapanda tuu dec sitaki analysis nyingi haaaaa
 
Habarini za muda huu wakuu...
Naomba yeyote mwenye mpango biashara wa kilimo cha parachichi au maembe anisaidie.
Business plan(mpango biashara) Uhandaliwa kulingana na mtaji wako ko MTU akiweza kukupatia mpango biashara wake nidhahiri kuwa usiweze kumatch na financial yako na at the end ukashindwa kufanya biashara ambayo uliitarajia.

N.B
Kama unahitaji mpango biashara madhubuti ni pm tuyajenge don't worry about me.
 
Hahaaa well said wasomi wanahangaika sana na analysis, mimi nimefika Njombe wiki ya pili tuu nimepanda miti sasa nimesikia kuhusu palachichi nitapanda tuu dec sitaki analysis nyingi haaaaa
Sio kweli,mpango biashara ni muhimu sana katika analysis's ya biashara yako
 
Hapo ni kupoteza muda tu, wewe upo mwanzo mwa shughuli. nenda katafute eneo, chukua mawazo kwa wazoefu wafanyao mradi husika. Watz wengi wamefanikiwa hata business plan hawajawahi kuiona. Tuanche kilimo cha nadharia
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom