Msaada: kwa yeyote anayejua kutengeneza sabuni dodom

Ronzobe B29

JF-Expert Member
Jul 8, 2017
242
89
Kama inavyosomeka hapo juu, ninashauku kubwa ya kujifunza hiki kitu hivyo kama unajua au kuna mtu unamjua tafadhali usisite kunitonya.

Unaweza PM au hapa kwa faida ya wengine.

NB: kwa waliododoma mjini au maeneo ya karbu na mjini
 
Njoo Nkuhungu Stera bar ulizia muhudumu yeyote mtaalamu wa kutengeneza sabuni watakuonyesha niliopo karibu
 
+255 765 167 486 mcheki huyu dada anaitwa Lilian
Kama inavyosomeka hapo juu, ninashauku kubwa ya kujifunza hiki kitu hivyo kama unajua au kuna mtu unamjua tafadhali usisite kunitonya.

Unaweza PM au hapa kwa faida ya wengine.

NB: kwa waliododoma mjini au maeneo ya karbu na mjini
 
Kama inavyosomeka hapo juu, ninashauku kubwa ya kujifunza hiki kitu hivyo kama unajua au kuna mtu unamjua tafadhali usisite kunitonya.

Unaweza PM au hapa kwa faida ya wengine.

NB: kwa waliododoma mjini au maeneo ya karbu na mjini
Njoo pm nikupe maujuzi
 
Njoo nikufundishe bureeee bila malipo mkuu,
 
Back
Top Bottom