N nana29 Member Aug 20, 2013 18 2 Oct 10, 2019 #1 Je Kuna yoyote aliona tangazo la kazi za sales kampuni ya Nomad Tz je una apply vipi?
A Akili 2 JF-Expert Member Jul 2, 2018 1,221 1,829 Oct 10, 2019 #3 Dingirii said: Unaomba kupitia zoom Click to expand... Ubabaishaji tuu Kule zoom
Dingirii Member Aug 16, 2019 27 15 Oct 11, 2019 #4 Akili 2 said: Ubabaishaji tuu Kule zoom Click to expand... Ushawai kuitwa kwenye interview kupitia zoom ?
Akili 2 said: Ubabaishaji tuu Kule zoom Click to expand... Ushawai kuitwa kwenye interview kupitia zoom ?
A Akili 2 JF-Expert Member Jul 2, 2018 1,221 1,829 Oct 11, 2019 #5 Dingirii said: Ushawai kuitwa kwenye interview kupitia zoom ? Click to expand... Kazi yoyote nikiona zoom tuu na hakuna source nyingine huwa sijisumbui kuomba wasije wakaanza kunisumbuwa na visms vya kipuuzi
Dingirii said: Ushawai kuitwa kwenye interview kupitia zoom ? Click to expand... Kazi yoyote nikiona zoom tuu na hakuna source nyingine huwa sijisumbui kuomba wasije wakaanza kunisumbuwa na visms vya kipuuzi
Mkaruka JF-Expert Member Feb 5, 2013 19,617 34,062 Oct 11, 2019 #6 Siyo mbaya kujaribu na matangazo yanayopatikana websites nyingine kama http://ajiraalerts.com Huwezi Jua Bahati Yako Iko Wapi !
Siyo mbaya kujaribu na matangazo yanayopatikana websites nyingine kama http://ajiraalerts.com Huwezi Jua Bahati Yako Iko Wapi !