Jamani naombeni msaada wenu, mm natumia king'amuzi cha Star Times, but kwa sasa sipati picha (Video) za Citizen TV, ninachokipata ni sauti (audio) tuuu....so help out great thinkers????

hawa jamaa wakifanya addition ya channels wkt mwingine device haiwezi kufanya automatic update na kusababisha channel list kuvurugika, jaribu kurestore system maana kwangu inaonyesha