Msaada kwa wenyeji wa Mtwara, Masasi DC na anaoifahamu shule ya sekodari NAMALENGA

MTABO

Member
Mar 6, 2014
95
57
Wadau naomba mnijuze haya yafuatayo kuhusu namalenga.
  • nauli kutoka shuleni hadi masasi mjini ambako ndiko makao makuu ya Masasi DC
  • kama shule ni ya kuwa au bweni.
  • kama shle ina advance au laa!
  • uwepo wa barabara ya kupitika au laa!
  • uwepo wa umeme
Msaada wenu tafadhali.
 
naul kutoka masasi hadi shulen 3500, shale ipo barabara ya kwenda newala , ni kama 0.5 km kutoka barabara kuu , shule ni ya kutwa (o level ) mchanganyiko umeme sina hakika sana. ila nafikir upo kijiji 1 nyuma , ngoja. nitafute. namba ya mdau wa hapo kijijin nikupe
 
umeme upo mwingi netwok zote zinapatikan ,tgo ,airtel ,voda,, halotel (3G)
 
Back
Top Bottom