Msaada kwa wenye ufahamu

Msaada kwa wenye ufahamu

mnyonge wa hali ya chini

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Posts
926
Reaction score
1,160
Je, kuna faida gani kwa mwalimu wa primary mwenye certificate kusomea diploma in primary Education?

Wakuu mimi siyo mwalimu lakini mke wangu ni mwalimu wa primary sasa anataka kwenda kusoma diploma in primary ninaomba kujuzwa faida zake kabla sijatumia fedha zangu bila kujua faida zake.

Maana nimemshauri afanye mtihani wa form 6 ili akasome digrii kabisa lakini yeye anasema kuwa itakuwa muda mrefu sana.

Tafadhari naombeni ufafanuzi kwa wenye uelewa juu ya hili.
 
Back
Top Bottom