Msaada kwa watumiaji wa line za BOL

Msaada kwa watumiaji wa line za BOL

Vangiporini

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
328
Reaction score
319
Wakuu kwa watumiaj wa hizi line za mtandao wa BOL naomba mnijuze kama na nyinyi mnapata tatzo kama langu la hii line kukataa kuconnect kwenye modem siku za hivi karibuni ilihali nina kifurushi na ni kama wiki sasa....mimi nipo mbeya
 
kuna uzi humu ulishaanzishwa na chief mkawa utafute ueleze shida yako utasaidiwa
 
Last edited by a moderator:
Kwani mwanzo ulifanikiwa ku-connect alafu sasa ndio imegoma au hujawahi kufanikiwa.., sababu mimi sijawahi kufanikiwa na hii kitu kwenye modem
 
Kulikuwa na tatizo lakini kuanzia jana lilikuwa limetatuliwa leo utaupata vizuri kabisa ebu jaribu
 
Kwani mwanzo ulifanikiwa ku-connect alafu sasa ndio imegoma au hujawahi kufanikiwa.., sababu mimi sijawahi kufanikiwa na hii kitu kwenye modem

hii kitu huwa inakubali modem za huawei,na mwanzoni nilikua naitumia kwenye modem yangu ya huawei na ikawa inapiga mzigo vizuri tu....sasa siku mbili tatu hapa haiconnect kabisa
 
basi mimi hilo ndio tatizo langu nimejaribu modem iliyochakachuliwa na ile ya safaricom voda na universal modem (zile za HSDPA Data Link) lakini zote hizo haziakubali
 
hahahaha mkuu me mwenyewe modem yangu ya HSDPA iligoma,sasa sijui watajipanga lini ili line zao ziwe kama line za kawaida
 
Unaweza kunipa full details ya modem yako uliyotumia na inauzwa wapi na kiasi gani
 
hii modem ni huawei E303 na ni universal(original,sio ya kuchakachua) ili agizwa kutoka china ko sijajua itakua kiasi gani,kama vipi icheck vizuri google
 
Back
Top Bottom