Habari?
Naomba kujua malipo ya mwezi kwa watumiaji wa DSTV explora tafadhali. Maana nimefanya malipo kwa Tshs 142,000 kama ilivyo ada ila TV yangu ina display E 16-4. Nimepiga simu customer care naona wanamaliza vocha yangu pasipo kusema kinachoeleweka.
Msaada tafadhali.
Hakuna cha explora hapo!Vifurushi vya DSTV. 18,500/- 35,000/- 56,000/- 135,000/- 168,000/- chagua lipia kwa nafasi yako.
Hakuna cha explora hapo!
Explora ni full HD channels zote.
Vifurushi vya DSTV. 18,500/- 35,000/- 56,000/- 135,000/- 168,000/- chagua lipia kwa nafasi yako.
Habari?
Naomba kujua malipo ya mwezi kwa watumiaji wa DSTV explora tafadhali. Maana nimefanya malipo kwa Tshs 142,000 kama ilivyo ada ila TV yangu ina display E 16-4. Nimepiga simu customer care naona wanamaliza vocha yangu pasipo kusema kinachoeleweka.
Msaada tafadhali.
Habari?
Naomba kujua malipo ya mwezi kwa watumiaji wa DSTV explora tafadhali. Maana nimefanya malipo kwa Tshs 142,000 kama ilivyo ada ila TV yangu ina display E 16-4. Nimepiga simu customer care naona wanamaliza vocha yangu pasipo kusema kinachoeleweka.
Msaada tafadhali.
Habari?
Naomba kujua malipo ya mwezi kwa watumiaji wa DSTV explora tafadhali. Maana nimefanya malipo kwa Tshs 142,000 kama ilivyo ada ila TV yangu ina display E 16-4. Nimepiga simu customer care naona wanamaliza vocha yangu pasipo kusema kinachoeleweka.
Msaada tafadhali.
Ni 168,000 hicho ni premium hakiitwi Explora. Kama umelipa kwa Mpesa, Tigopesa. ..etc. Ongeza hiyo tofauti 26,000 tu.
Explora ni TZS 190,000/= kwa sasa. Wengi hawakujua mabadiliko hayaExplora ni aina ya Decoder ambayo ninayo. Package yake ambayo uwa nailipia tangu nimenunua ni premium. Uwa nalipia Tshs. 142,000 (bila kurekodi).
Sasa kutokana na ongezeko la bei nilitaka kujua kiasi kilicho salia ili ni-enjoy huduma.
Pia, due payment ilikuwa April 10 ila mimi nililipia April 03. Na tatizo nikaanza kuliona ilipofika April 10 la hiyo sign ya E 16-4 kwenye TV.
Explora ni aina ya Decoder ambayo ninayo. Package yake ambayo uwa nailipia tangu nimenunua ni premium. Uwa nalipia Tshs. 142,000 (bila kurekodi).

Explora ni TZS 190,000/= kwa sasa. Wengi hawakujua mabadiliko haya
Explora ni aina ya Decoder ambayo ninayo. Package yake ambayo uwa nailipia tangu nimenunua ni premium. Uwa nalipia Tshs. 142,000 (bila kurekodi).
Sasa kutokana na ongezeko la bei nilitaka kujua kiasi kilicho salia ili nilipie na naamini humu kuna mtu atakuwa na ufahamu kuhusu hili.
Pia, due payment ilikuwa April 10 ila mimi nililipia April 03. Na tatizo nikaanza kuliona ilipofika April 10 la hiyo sign ya E 16-4 kwenye TV.
Wameongeza gharama ezakuwa kiasi ulichotoa hakitoshi kwa package unayoitaka. Mfano mimi nilikuwa nikilipia 54 sasa kama sikosei nalipa 65. Yani wametuongezea gharama wakat channel ni zilezile
Ni ujinga kulipia laki na 60 kisa mpira au movie. Mie tv naangalia habari tu