mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,993
- 2,940
wapi ujaelewa ayo manne yote ni maswali ambayo sina majibu yake n nina tegemea majibu kutoka kwenuNimepata ukakasi sana kukuelewa hebu andika kitu kinachoeleweka mzee ndo uasidiwe.
Habari wana jukwa kama nilivo eleza apo juu mim ni mtumiaji wa computer ila sina utundu nayo sana kwa undani baada yakununua yangu nina kama miezii sita ivi natumia sana san kwa matumizi ya mtandaoni pamoja na kujisomea coz napenda kusoma san mtandaoni.
1;je application gani nizamuhimu kuwa nazo kwenye pc ,
2;ukitaka ku coment hasa kwenye facebook unafanyaje coz baada yakuandika coment nashindwa ku post,
3; natumia pc wakati window defender ime expiree kuna madhara gani coz nikitaka ku update inaandika waiting tu aifanyii chochote mpaka masaa mawili,
4;umuhimu waku restart mashine . nategemea majibu yenu kama kuna kingine chakufanya kwenye mashine tushirikishane kwa wale weny uwelewa wa IT pamoja n wenye uzoefuu ili twende sawa na globalization na pia natumia window 10...….
ndioUmenunua au
shukrani bro na pia unapotaka ku coment facebook unafanyaje coz baadaa yakuandika coment nashindwa ku postBasic Softwares....
Chrome browser
Vlc player
Kaspersky free version/Defender alternative
WinRar
Software nyinginezo inategemea na matumizi yako mfano.
U-Torrent
Adobe reader.
Adobe photoshop.
Filmora n.k....
Weka bundle hata 3gb halafu update window yako to latest updates. Perfomance na muonekano utakuwa mzuri.
Baada ya update funga updates isiwe inakula bundle utumiapo internet.
Hakuna umuhimu wa kurestart mashine kama hakuna sababu maalumu.
Ahsante.
ok itabidi nikapige short corse ya ICTKukoment fb kunahusiana vipi hapo,
Ni kwamba usijifiche humu mkuu tafuta mtu akupige introduction course ya computer basic ,
Naweza kukusaidia for free via WhatsApp,
Ila utagharamia bando
Thanks . Na nikitaka kutumia whatsup kweny computer inawezekanaje……...Ukimaliza kucomment pga Enter
ni kweli ila jamii forums ni Zaidi ya googleGoogle mzee,utapata majibu yote ya maswali yako.
Thanks . Na nikitaka kutumia whatsup kweny computer inawezekanaje……...
unatumia app ganiYah inawezekana
Blue stalkunatumia app gani
ok ngoja nijaribu ku downlod af ntaleta mrejeshoBlue stalk
Okok ngoja nijaribu ku downlod af ntaleta mrejesho