ager de don
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 621
- 320
Habari ya usiku wana jf wenzangu! Kwa heshima na taadhima napend kujua mawili matatu kuhusiana na friji kwan hapa na kabejeti kidogo naitaji nikajichukulie friji jipya dukani napenda kufahamu ni brand gani iko poa na ipi sio nisije angukia pua maana mie sio mtaalam sana pande hizo asanteni nawasilisha
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app