BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,345
- 9,040
Hahaha sawa chief kuna mengine sio lazma ucross yale manyokanyoka.Hii shule inaonekana nzito...
Sio ya F6 hii[emoji23][emoji23]
Hahaha sawa chief kuna mengine sio lazma ucross yale manyokanyoka.Hii shule inaonekana nzito...
Sio ya F6 hii[emoji23][emoji23]
hahahahaaa; haya mkuuuHaya mambo jaman muwe mnatembelea hospital,
Usitegemee jambo zito kama hili Dr akujibu ktk social media.
Kuna Ethics ya kazi jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wee fika hospital kwanza usijal hatutakupima DNA mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijal ngoja nkujibu basi,hahahahaaa; haya mkuuu
Mwalimu wake wa haematology na blood transfusion yupo vzrAisee naona hematology na genetics umeisoma vizur sanaa.
[emoji23][emoji23][emoji23].