Msaada kwa wataalamu wa i-Surf Tablet

Msaada kwa wataalamu wa i-Surf Tablet

El'son

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
380
Reaction score
324
Hivi maajuzi nimenunua i-Surf Tablet baada ya muda kama mwezi hivi, kwenye keypad +na # zimeacha kufanya kazi. Sijajua kwanini. Ila nakumbuka siku hiyo nilikuwa nadownload nyimbo pia ilikuwa charge.

Kitu kingine niliruhusu kudownload application ambazo zipo nje ya playstore ingawa wanasema zinaweza kuwa harm simu au tablet. Nimefanya factory reset inakubali na zinafanya kazi tena ila baada ya muda tatizo linajirudia.

Msaada naomba nifanyaje kuondokana na hili tatizo.

Naomba kuwasilisha
!
 
Back
Top Bottom