Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,152
Windows ninayo kwenye pc yangu, nilitengeneza bootable nikainstall ila bado shida ni ile ileUn install window intall upya lakini je hiyo operating system uliitoa wapi na una hakika siyo corrupt ?
si ubonyeze OK; to close !!!Nifanye nini kutatua tatizo hili.
Natumia windows 7 bit 32
Inaandika "The application was unable to start correctly (0xc0000005). Click oOk to close the program.
sawasi ubonyeze OK; to close !!!
watu wengine bahna! mnapataga tabu hata kwa mambo marahisi kabisa; Click OK to close the program OVER!! Then tafta ingine weka! simple
siku ingine usipate tabu, fuata maelekezo tu computer ni kama barabara ukijua kusoma alama za barabarani unafika salama!sawa
Nadhani umevamiwa na minyoo yaani worm/ trojans kazi yao ni kutafuna / kubadilisha drivers wa hiyo pc yako jaribu kutafuta / download bitware then scan uondoe hizo malicious programs kwa pc yakoNifanye nini kutatua tatizo hili.
Natumia windows 7 bit 32
Inaandika "The application was unable to start correctly (0xc0000005). Click oOk to close the program.
Hii ni kila nikijarbua kufungua application