ASANTE NDUGU KWELI ISHIWA PESA UJUE TABIA YA MKEONgoja wenye kujua ' Vifungu ' vyao waje Mkuu ila binafsi niseme tu pole sana Kwako kwa yaliyokuta ambayo namuomba Mwenyezi Mungu yasijenikuta na Mimi.
Pole san..mi nakushauri kwa sasa wekeza nguvu zako katika kutafuta pesa ili mwanao aishi maisha bora huyo mwanamke nadhani tayari kashaharibu maisha yake na hawezi kuwa stable tena na huyo Mgoni wako naye kashapoteza sifa ya uanaume maisha yake atakuwa kama digidigi na kisaikolojia kashaathirika baada ya kutatuliwa nati labda kama ni shoga anayecheza beki halafu anashambulia..Move on haya maisha kuna watu wana matatizo makubwa yamewapata kuliko lako,ila walinyanyuka na kuendelea na safariHII NDIO GARI AMBAYO DAVID PANGA ANAITUMIA KAMA GUEST KWA WAKE ZA WATU HAPA MWANZA 0767 266 007 KWA SASA NAMBA HII AMEIBLOCK TOKA NAYEYE AFANYWE MKE TAREHE 6.7.2017. KWA SASA HANA MARINDA
SHIDA SIO KUENDELEA NAE NI KUKOMOANA TU NA YEYE IMGHARIMUKwa mwanamke wa hivyo ukitaka kuendelea na maisha nae mtapiga hatua kiasi gani!? Akili na mawazo yake havipo huko unapotaka wewe!? Toa talaka pambana na hali yako mwenzio anapambana kwenye noah ww ndio unaonekana msumbufu kung'ang'ani vilivyo shindikana na dunia tuliopo ss sio hiyo unayo dhani ww! # NYUKI HAKUMBATIWI #
TULIFUNGA NDOA TAREHE 28/12/2013 KANISA KATOLIKI PAROKIA YA WATAKATIFU WOTE SHEREHE MWANZA HOTELNi mke wako wa ndoa au ulizaa nae tuuh??? Ila kwa uchungu anaupata huyo dogo mpk anasema baba mama analala na uncle Mungu atafanys kitu mkuu kuwa na subira omba Mungu mwenyewe atajilipiza kisasi na utapata mke mwingine mpende sana mwanao.
OK NITUMIE NAMBA YAKEAdelack mazula nakujua Sana Ebu mtafute Dr Chris wa wa TBL atakushuhuri vzr ni rafiki yangu na atakusaidia Sana
SHIDA KUBWA NI UNISHAURI KISHERIA IMEKAAJEMkuu, nimekuonea huruma sana kwa jinsi ulivyodhalilishwa..
Lakini kama ameshaondoka mwenyewe unahangaika naye wa nini tena?
Umethibitisha mkeo ni mchafu kiasi hicho bado unasumbuka naye?
Kwa mimi ninavyoona hizo taratibu zote ni kwenda kujidhalilisha tu, mkeo ameshakuwa mchafu kupindukia wewe endelea na mambo yako tu!
Nimempa namba yako anakupigiaOK NITUMIE NAMBA YAKE
OK HUWA ANAYONimempa namba yako anakupigia
Haina tija unajua ww ndio utaumia muda mwingi zaidi kuwaza wasio kuwaza na anae umia ni ww maana wao hawaangaiki na ww ila ww ndio unaangaika nao, huo muda pambana kufanya mishe zingine uongeze kipato ambapo kipato chako ndio kilikua chanzo hivyo kipambanie na ww uchezee wanawakeSHIDA SIO KUENDELEA NAE NI KUKOMOANA TU NA YEYE IMGHARIMU
Hapo kuna kesi, moja kesi ya ugoni, mbili kuibiwa mali zako kama ziko identified nenda mwanza shirika moja linaitwa NOLA wanatoa msaada wa kisheria watakusaidia sana.TULIFUNGA NDOA TAREHE 28/12/2013 KANISA KATOLIKI PAROKIA YA WATAKATIFU WOTE SHEREHE MWANZA HOTEL
Nimesikitika sana kwa kuongezea chukua mtoto wako songa mbele Mungu akujalieMkuu, nimekuonea huruma sana kwa jinsi ulivyodhalilishwa..
Lakini kama ameshaondoka mwenyewe unahangaika naye wa nini tena?
Umethibitisha mkeo ni mchafu kiasi hicho bado unasumbuka naye?
Kwa mimi ninavyoona hizo taratibu zote ni kwenda kujidhalilisha tu, mkeo ameshakuwa mchafu kupindukia wewe endelea na mambo yako tu!