Msaada kwa wataalam wa Computer

Msaada kwa wataalam wa Computer

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,685
Nina mini laptop yangu ndogo ni DELL haisomi flash disk zote port zote hazidetect kitu ila inafanya kazi vizuri sasa sijui tatizo ni software ama ni hardware.
Msaada wadau!
 
Ndugu inawezekana port au pia kuna bug moja kwenye Windows 7. Kuna kipindi ukichomeka Flash inaenda kwenye group la unspecified devices kwenye devices and printers. Ila sikuwahi kufuatilia sana hiyo kitu. Kwa hiyo unaweza ukagoogle.
 
Nina mini laptop yangu ndogo ni DELL haisomi flash disk zote port zote hazidetect kitu ila inafanya kazi vizuri sasa sijui tatizo ni software ama ni hardware.
Msaada wadau!

sasa kama inafanya kazi ni tatizo hilo?
 
Kama ukishindwa kabisa kupata ufumbuzi chakufanya ni kudownload window nyingine kwa kutukia hiyo Pc kisha unainstal tatizo lako litaisha
 
Kweli bongo noma!! Nilijua hili tatizo litapatiwa ufumbuzi hapa JF . Tanzania education.
Ok ngoja ni google
 
Tatizo ni kuwa siwezi kuhamisha data yoote wala kutunia internet kwa sababu hata moderm haidetect .. Umanipata mkuu?
  • Ingia kwenye BIOS angalia kama usb port ziko disabled / enabled
 
Huwa hatuendi hivo yaan hauoni hata aibu kuleta tatizo kama hili...

vizuri unapoomba msaada usiwapeleke watu kama wadogo zako..

jifunze hata kusearch matatizo yako google ...

usitake kila kitu usaidiwe tena unakomandi

sio busara hzo nazani hata msaada hauwez kupata ukiwa unaenda hivi


enjoy++

Kweli bongo noma!! Nilijua hili tatizo litapatiwa ufumbuzi hapa JF . Tanzania education.
Ok ngoja ni google
 
Huwa hatuendi hivo yaan hauoni hata aibu kuleta tatizo kama hili...

vizuri unapoomba msaada usiwapeleke watu kama wadogo zako..

jifunze hata kusearch matatizo yako google ...

usitake kila kitu usaidiwe tena unakomandi

sio busara hzo nazani hata msaada hauwez kupata ukiwa unaenda hivi


enjoy++

Sawa,
Ila unaijua sana JF kuliko mimi? Kama hujui kitu nenda MMU .. Huna msaada kwangu kaka.
 
Nina mini laptop yangu ndogo ni DELL haisomi flash disk zote port zote hazidetect kitu ila inafanya kazi vizuri sasa sijui tatizo ni software ama ni hardware.
Msaada wadau!
Hilo tatizo lako nimekutana nalo kama mara 2, Solution pekee ninayoijua mimi ni kuingia kwa kutumia Safe mode.
 
Sasa mkuu mambo ya MMU unataka kuleta hapa tech? Acha mambo hayo bwana.

Tupe feedback ya tatizo lako
 
Nina mini laptop yangu ndogo ni DELL haisomi flash disk zote port zote hazidetect kitu ila inafanya kazi vizuri sasa sijui tatizo ni software ama ni hardware.
Msaada wadau!


Try kuwacheki wataalamu wa hizi mambo kama @c 6, na CHIEF MKWAWA.
Nashauri uwatumie PM.
Huyo Mwl.RCT yupo vizuri....fuata ushauri wake....jamaa anajua sana mambo hizo
 
Last edited by a moderator:
ukishamcheki na kuweza kutatua hilo tatizo, naomba utujulishe ili na sisi tupate elim ya jinsi ya kutatua hilo tatizo.
 
Try kuwacheki wataalamu wa hizi mambo kama @c 6, na CHIEF MKWAWA.
Nashauri uwatumie PM.
Huyo Mwl.RCT yupo vizuri....fuata ushauri wake....jamaa anajua sana mambo hizo

Wala hahitaji kusumbuwa watu kwenye PM kwa tatizo kama hili. Atuambie hayo tuliyomshauri kwanza ameyafanyia kazi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom