hizo hp pavilion zinatumia chip(GRAPHIC) ya AMD na processor za AMD so hua zinaunguruma sana unaweza kuweka heat cooling compound kwenye processor na vga kupunguza tatizo pia tatizo la ku-stack angalia kama umeweka drivers so display(graphic drivers yaweza kuwa ni tatizo) ni kawaida kwa P.C ku-stack kwenye videos au baadhi ya software kubwa kama hiyo ya SPSS kama hakuna drivers sahihi za graphics