Habar wana jf. Napenda kujua kwa undani chuo cha usafirishaji ktk taaluma na mazingira kwa ujumla pamoja na course ambayo ni unique kwa kada ya degreee. (Nmesoma EGM)
Wakati mwingine
Uandishi unakera
Eti msahada! Ivi ni kutokujali au kweli kuandika neno msaada ni shida? Ina maana ata kulisoma na kulisikia mahali flani kwamba linaandikwa ivi pia hujawahi mwandishi?
Sio typing error, ni uzembe mtu kufika kidato cha sita halafu hujui kuandika lugha yako ya taifa. Ndo hawa hawachelewi kukufanyia operation ya kichwa badala ya mguu.

Una umama sana wewe kijana, ndo maana unaandika kwa mkato na kwa maringo. Hata hiyo fomu ya maombi utakosea kuijaza maana uwezo wako ni wa kusoma Certificate sio degree.