Naomba kusaidiwa kujuwa SCREENSHOTS ya samsung galaxy S4 inapigaje picha screen, maana mara nyingi sim ikiwa mfukoni naisikia ikipiga picha na nikiitoa nakuta picha ilizopiga, ila nikitaka kupiga mwenyewe siwezi wala sijui pakuazia.
Kazi ipo. Hiyo simu haikuja na manual yake? Hata kama haikuja nayo vipi kuangalia Google. Kuna mpaka video za YouTube. Au kila kitu ni JF siku hizi? Servers za JF zina kazi tena pevu!